Sinaye Baba (Paperback)

Sinaye Baba By Mfaume Hamis Mfaume Cover Image
$27.50
IN WAREHOUSE - Usually Ships in 3-7 Business Days

Description


Sinaye Baba ni diwani yenye mashairi ya kimapokeo yaliyobeba sauti ya kilio cha kundi la watu walio- kosa malezi kutoka kwa wazazi. Sauti hizo zilizojaa jitimai, zinaonesha ni kwa namna gani kukosa malezi kunavyoweza kuathiri jamii kwa kuifanya ipotoke zaidi. Hivyo diwani hii inamfungua macho msomaji, ili aweze kuona ni kwa namna gani malezi ni jukumu la jamii nzima.

Diwani hii haijaacha kitu kwani imebeba masuala mbalimbali katika jamii, burudani, siasa na uchumi.Product Details
ISBN: 9789987753727
ISBN-10: 9987753728
Publisher: Mkuki na Nyota Publishers
Publication Date: June 23rd, 2023
Pages: 184
Language: Swahili